Category: MCHANGANYIKO
Waziri Ulega aomba bajeti ya trilioni 2.280, akitoa onyo kali kwa makandarasi waliopo nchini
Wizara ya Ujenzi nchini Tanzania katika Mwaka wa Fedha 2025/26 imeliomba Bunge la Tanzania kuidhinisha Jumla ya Shilingi 2,280,195,828,000.00, kwa ajili ya matumizi ya kawaida na utekelezaji wa miradi ya maendeleo ambapo takribani Shilingi 2,189,727,558,000.00 zimeelekezwa kwenye utekelezaji wa miradi…
Waziri Mavunde amzawadia mwandishi bora sekta ya madini leseni ya utafiti
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amemkabidhi Mwandishi Bora wa Sekta ya Madini, Dotto Dosca, wa Malunde Blog, Leseni ya Utafiti wa Madini yenye ukubwa wa kilomita za mraba 20 katika hafla ya Tuzo za Samia Kalamu Awards zilizofanyika Mei…
Miji 28 kubadili Tanga katika huduma ya maji
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Serikali ya Awamu ya Sita imendelea kutekeleza miradi ya maji ili kuwafikia wananchi. Moja ya mradi ni mradi wa Miji 28 mkoani Tanga ili kufikia lengo la upatikanaji maji asilimia 85 vijijini na 95 mjini…
Rais Samia atunukiwa Medali ya Mother of the Nation Order kutoka kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Medali ya Mother of the Nation Order kutoka kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu Mtukufu Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan. Medali hiyo iliwasilishwa kwake…