JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Mathias Canal ashinda Tuzo ya Samia Kalamu Awards

Mwanzilishi na Afisa Mtendaji Mkuu wa WazoHuru Media Group Limited Mathias Canal ameshinda Tuzo mbili za SAMIA KALAMU AWARDS sekta ya ujenzi na chombo bora cha mtandaoni. Pamoja na zawadi ya Cheti, Ngao, Tsh Milioni 10, lakini pia Mathias Canal…

Nyamguma Mahamud aibuka mshindi wa habari za nishati safi ya kupikia

πŸ“ŒNi kupitia Tuzo za Uandishi wa Habari za Samia Kalamu Awards πŸ“ŒWizara ya Nishati yatambua mchango wake πŸ“Œ Yamzawadia fedha taslimu, jiko linalotumia umeme kidogo, kompyuta mpakato na uniti za umeme za mwaka mmoja πŸ“Œ Mhandisi Mramba asema Tuzo ni…

Aliyeandika vitisho kuhusu Padri Kitima akamatwa na Polisi

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linamshikilia na Kumhoji Frey Cossey (51) Mkazi wa Dodoma na Mbezi beach kwa kuchapisha vitisho kupitia mitandao ya kijamii, dhidi ya Katibu Mkuu wa…

TANROADS imekamilisha ujenzi wa Km 109. 49 za lami nchini – Waziri Ulega

Na Mwandishi Wetu, JamhiriMedia, Dodoma Serikali imekamilisha Ujenzi kilomita 109.49 za barabara nchini kwa kiwango cha lami huku ikiendelea na ujenzi wa Kilomita 275.51, hali kadhalika ujenzi wa madaraja matano (5) unaendelea na ujenzi wa madaraja mengine matano (5) upo…

INEC yawataka wananchi kutumia siku zilizobaki kuboresha taarifa zao

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ruvuma Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, imewataka wananchi wa mikoa 15 inayotekeleza zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura katika mzunguko wa kwanza wa awamu ya pili kuzitumia siku chache zilizobaki katika…