Category: MCHANGANYIKO
Naibu Waziri Kipanga ajivunia Sequip ilivyoboresha elimu ya sekondari Mafia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mafia Mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari (SEQUIP) umetajwa kuwa nguzo ya muhimu Wilayani Mafia katika Mkoa wa Pwani kwenye eneo la sekta ya elimu kwa kutekeleza ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi…
Waziri Mkuu awasili nchini Belarus kwa ziara ya kikazi
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) amewasili jijini Minsk, Belarus kwa ziara ya kikazi ya siku nne kuanzia tarehe 21 hadi 24 Julai 2024. Alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa nchi hiyo, Mhe….
Serikali yatoa bilioni 298 kugharamia matibabu ya Kifua Kikuu, UKIMWI na Malaria nchini
Na WAF, Dodoma Serikali ya Tanzania kwa kipindi cha mwaka 2024/25 na 2025/26 imetoa jumla ya Dola Milioni 114 sawa na Shilingi Bilioni 298 za kitanzania kuongeza manunuzi ya dawa na vifaa tiba ili kufidia fedha zilizokuwa zikitumika kupambana na…
TCRA: Kinondoni, Sumbawanga na Kilombero zinaongoza kwa majaribio ya ulaghai
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza kuwa wilaya za Sumbawanga Vijijini, Kilombero na Kinondoni zinaongoza kwa majaribio ya ulaghai kwa simu kupitia ujumbe mfupi (SMS) na sauti. Taarifa ya TCRA kuhusu sekta ya…
BAKWATA yawapiga ‘stop’ wanaharakati kutumia nyumba za ibada kupotosha waumini
Na Jumbe Ismailly, JamhuriMedia, Singida BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Singida limewaagiza masheikhe wa wilaya pamoja na maimamu wa misikiti wote Mkoani hapa kutoviruhusu vikundi vya Wahadhiri na Wanaharakati kutumia majengo ya ibada kupotosha waumini wao kwamba…





