Category: MCHANGANYIKO
TARURA kuanza kutangaza zabuni za mwaka 2025/2026
*Barabara zenye changamoto kufikiwa *Zipo barabara zenye kipaumbele kwa jamii Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor Seff amewaagiza Mameneja wa Mikoa nchi nzima kuanza kutangaza zabuni za mwaka…
Tanzania yanadi fursa za biashara na wawekezaji Vietnam
Mkurugenzi wa Idara ya Diplomasia ya Uchumi na Biashara ya Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushrikiano wa Afrika Mashariki Balozi John Ulanga ameongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo na makumpuni ya Viet Nam, ambapo wamenadi fursa mbalimbali…
Tume ya TEHAMA ilivyoshiriki kwa mafanikio sherehe za Mei Mosi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam TUME ya TEHAMA (ICTC) imeshiriki kikamilifu katika sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani mwaka huu ambazo kwa Jiji la Dar es Salaam, ziliongozwa na Mkuu wa Mkoa huo, Albert Chalamila. Ikiwa ni taasisi…
Halmashauri zatakiwa kusimamia sheria ya mazingira
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma SERIKALI imezitaka halmashauri zote nchini kuendelea kusimamia kikamilifu Sheria ya Usimamizi wa Mazingira Sura 191 ili kuzuia uchimbaji wa mchanga kudhibiti kupanuka kwa mito huku ikiendelea kutenga fedha za kukabiliana na changamoto hiyo. Sanjari hilo…
Wizara ya Fedha yapokea tuzo mbili za ushindi sherehe za Mei Mosi
Na Peter Haule, JamhuriMedia, Singida Wizara ya Fedha imeng’ara kwenye Sherehe ya Wafanyakazi (Mei Mosi) Kitaifa, baada ya kuwa mshindi wa kwanza wa mchezo wa mpira wa miguu katika mashindano yaliyoshirikisha Wizara na Taasisi za Serikali. Tuzo za washindi katika…
Serikali yatoa bilioni 15 kwa dawa na vifaa tiba Tabora
Mkuu wa Wilaya ya Tabora Deusdedith Katwale ameipongeza serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutoa shilingi billion 15 kwa ajili ya ununuzi wa dawa na vifaa tiba Hali hiyo ilipelekea kuboresha na kuimarisha huduma…