Category: MCHANGANYIKO
Kilimanjaro kuendelea kupinga ukatili dhidi ya watoto
Na Ashrack Miraji Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro, Bw.Kiseo Nzowa ametoa wito kwa wananchi kuendelea kushirikiana na Serikali katika kukabiliana na vitendo vya ukatili na unyanyasaji dhidi ya watoto. Nzowa alitoa kauli hiyo leo Juni wakati wa maadhimisho ya…
Gambo ataka Wenyeviti Serikali za Mitaa walipwe 300,000/- kwa mwezi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo, ameibua hoja nzito kuhusu malipo na maslahi ya wenyeviti wa serikali za mitaa, akisema kundi hilo limekuwa likipuuzwa licha ya kuwa nguzo muhimu ya utawala wa karibu na wananchi. …
Mwenge wazindua mita za maji za bil 1.8/- Tanga
Na Mwandishi Wetu, Tanga Mwenge wa Uhuru umezindua mradi wa mita za maji za malipo ya kabla (LUMAKU) wenye thamani ya Sh bilioni 1.8 ambao ni utekelezaji wa agizo la Rais Samia la kupunguza malalamiko ya ankara kubwa za maji…
Kampuni kubwa zasaini mkataba kuuzia dhahabu BoT
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Benki ya Tanzania (BoT) imesaini mikataba na Kampuni za Uchimbaji Madini za Geita Gold Mine (GGM), Buckreef Gold Ltd na Shanta Ltd ya kununua kiasi kisichopungua asilimia 20 ya dhahabu inayozalishwa. Huo ni utekelezaji wa…
THRDC yampongeza Jaji mkuu mpya George Masaju
Na Aziza Nangwa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umempongeza Jaji wa Rufani George Mcheche Masaju kwa uteuzi wake nakuapishwa kuwa Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Taarifa hiyo kwa vyombo vya habari imesema Mahakama…
REA kuendelea kuwezesha waendelezaji wa miradi ya nishati vijijini
📌RC Njombe apongeza usimamizi wa miradi ya REA Wakala wa Nishati Vijijini (REA) utaendelea kutoa sapoti kwa waendelezaji wa miradi ya kuzalisha na kusambaza umeme kote nchini ili kuwezesha wananchi wengi kufikiwa na huduma bora ya nishati ambayo inachangia kuinua…