Category: MCHANGANYIKO
Wazazi acheni kuwaita watoto majina mabaya
Na Salma Lusangi WMJJWW Wazazi na Walezi wameshauriwa kuacha tabia ya kuwaita watoto majina mabaya au kumtusi matusi yasiyostahili pale ambapo mtoto amekosea kwani tabia hiyo inamuathiri kihisia na kupelekea athari katika mambo mengi ikiwemo ufahamu mdogo katika masomo yake….
WorldVeg kuimarisha utafiti na mafunzo ya mbegu bora kwa kilimo endelevu kusini mwa Afrika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti na Uendelezaji wa Kilimo cha Mbogamboga Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika (WorldVeg) iliyopo Tengeru mkoani Arusha, imesema itahakikisha kilimo kinakuwa na tija kubwa zaidi kwa wakulima wa Tanzania…
ZEC : Kura ya mapema ipo kama kawaida
Na Haji Mtumwa, JamhuriMedia, Zanzibar TUME ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imetangaza rasmi kuwa Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar utafanyika Jumatano, Oktoba 29, 2025, huku ikisisitizaa kura ya mapemaa ipo kama kawaida. Tangazo hilo limetolewa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji…
Prof. Kabudi : Uandishi wa habari ni taaluma anayefanyakazi hii lazima awe na vigezo
Na Mwandishi Wetu – MAELEZO, Mbeya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amesema uandishi wa Habari na utangazaji ni taaluma kama zilivyo taaluma nyingine nchini akisisitza kuwa mtu yeyote anayetaka kutekeleza majukumu yanayohusiana na tasnia hiyo…
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu kuboresha sheria kuelekea utekelezaji wa dira 2050
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali imeanza kufanya maboresho ya Sheria mbalimbali ili kurahisisha utekelezaji wa Dira 2050, Hayo yamesemwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Mwanasheria…
Dk Biteko azindua mradi utakaowakwamua vijana kiuchumi
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo amezindua Mpango wa Uwezeshaji wa Kiuchumi kwa Vijana (YEE) ambao unagusa maeneo yanayopitiwa na mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) ikiwa ni jitihada zinazoendelea…





