Category: MCHANGANYIKO
Dk Nchimbi ashiriki hafla ya kusimikwa kwa uongozi wa makanisa ya kipentekoste Tanzania
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Viongozi wa Dini wana wajibu wa pekee wa kuliombea Taifa kama ambavyo Biblia Takatifu ilivyoelekeza. Makamu wa Rais amesema hayo wakati wa wa hafla ya kusimikwa…
Balozi Mwamweta, Mtaka wasaka soko la parachichi Ujerumani
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, Mhe. Hassani Iddi Mwamweta anaongoza ujumbe wa wakulima na wafanyabiashara kutoka Tanzania unaoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Matunda na Mbogamboga ya Fruit Logistica 2026 yanayofanyika Berlin kuanzia Februari 03 hadi 06, 2026. Ujumbe huo unajumuisha…
Shemdoe awataka madiwani kuwa wanyenyekevu kwa wananchi
Na OWM – TAMISEMI, Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amewataka Waheshimiwa Madiwani nchini kuwa wanyenyekevu kwa wananchi katika kuwatumikia na kuwaletea maendeleo. Prof. Shemdoe ametoa…
Serikali yaipongeza IAA kwa kuongoza mageuzi ya kidigitali na kusukuma utafiti na maendelo
Na. Joseph Mahumi, WF, Arusha Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar(Mb), amekipongeza Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kwa kufanya mageuzi ya kidigitali, ufanyaji wa tafiti, maendeleo pamoja na mipango na mikakati ya kuboresha na kuongeza ufanisi kwenye utoaji…
Wakurugenzi ofisi ya Msajili wa Hazina wapigwa msasa kwa siku tano
Na Mwandishi wa OMH Kibaha. Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR) kwa kushirikiana na Taasisi ya Wakurugenzi Tanzania (IoDT) imeendesha mafunzo maalum ya uongozi na usimamizi kwa Wakurugenzi na Wakurugenzi Wasaidizi wa Ofisi hiyo, yakilenga kuimarisha uwezo wa menejimenti katika…





