JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Chifu Mashimba: Jamii irejee kwenye mila na desturi kwa manufaa ya kizazi kijacho

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha CHIFU ambaye pia ni Mwenyekiti wa Wataalamu wa Tiba Asili na Mbadala Mkoa wa Pwani, Salim Mashimba, amesema jamii imeasi na kupuuza mila na desturi za mababu, hali inayotishia ustawi wa maadili na ukuaji wa…

Dk Akwilapo : Serikali kuendelea kushirikiana kwa karibu na taasisi za kidini

Na Mwandishi Wetu, Kondoa WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Leonard Akwilapo, amesema Serikali itaendelea kushirikiana kwa karibu na taasisi za kidini katika kuboresha huduma za jamii, hususan sekta za elimu, afya na malezi, kwa kutambua mchango…

Ulega ataka barabara za AFCON zikamilike kwa wakati

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza kujengwa kwa kasi zaidi kwa miradi ya miundombinu itakayohusika na Mashindano ya AFCON ambayo Tanzania itakuwa mwenyeji mwakani. Ulega ameyasema hayo leo mjini Arusha wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Mbauda –…

Aweso: Bwawa la Farkwa kuwa mwokozi wa changamoto ya maji Dodoma

Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amesema ujenzi wa Bwawa la Farkwa ni mradi wa kimkakati unaolenga kutoa suluhisho la kudumu la changamoto ya upatikanaji wa maji katika Jiji la Dodoma na maeneo ya jirani. Amesisitiza kuwa Serikali imejipanga…

Mwenge wa Uhuru waridhishwa na miradi ya bilioni 2.159/- Same

Na Ashrack Miraji, JamhuriMedia, Same Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Ndugu Wazo Mwang’onda, ameridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo yenye thamani ya Shilingi bilioni 2.159 iliyotembelewa katika Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro, wakati wa mbio za…

TRA Ruvuma yapanda miti Hospitali ya Wilaya Songea kuelekea maadhimisho miaka 30

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia , Songea Kuelekea maadhimisho ya miaka 30 ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), yatakayofanyika tarehe 1 Julai 2026, TRA Mkoa wa Ruvuma imeendelea kuonyesha dhamira yake ya kushiriki katika shughuli za maendeleo ya jamii na utunzaji…