JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Mradi wa Sequip wapeleka neema Geita

Na Mwandishi Wetu, Geita Kupitia Mradi wa kuboresha Ubora wa Elimu Sekondari (SEQUIP) wananchi mkoani Geita wamenufaika na miundombinu ya ujenzi wa shule mpya mbili za sekondari zitakazorahisisha upatikanaji wa huduma za elimu mkoani humo. Shule hizo ni pamoja na…

RC Sirro: Nitawapigia wahalifu walionibip

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Simon Sirro amesema atawapigia wahalifu waliombipu kutokana na kukasirishwa na kitendo cha kuteka magari kilichotokea wilayani Kibondo mwishoni mwa wiki iliyopita na kwamba hatua madhubuti zimechukuliwa kukabiliana na wale wote…

TAWA yapokea tuzo kutoka Taasisi Foundation for disabilities hope

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imepokea Tuzo ya shukrani kutoka kwa Taasisi isiyo ya Serikali inayojulikana kama Foundation for Disabilities Hope (FDH) iliyopo Mkoani Dodoma. Akizungumza katika utoaji wa tuzo hiyo iliyofanyika Julai…

Rais Samia achangia milioni 50 ujenzi wa Kanisa Maswa

Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ametoa Sh milioni 50 kuchangia ujenzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyalikungu wilayani Maswa Mkoa wa Simiyu. Akiwasilisha mchango kwa niaba ya Rais Samia, wilayani Maswa, jana, Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira…

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Falme za Kiarabu afanya ziara Tanzania

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa nchi za Falme za Kiarabu, Luteni Jenerali Eisa Saif Mohamed Bin Ablan Almazrouei amefanya ziara ya kikazi nchini Tanzania leo tarehe 14 Julai 2025. Jenerali Almazrouei alipokelewa na mwenyeji wake Mkuu wa Majeshi ya…

Serikali yajenga shule ya kisasa ya wasichana na shule ya amali Mwanza

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan imekamilisha ujenzi wa shule ya kisasa ya wasichana Mwanza ambayo imejengwa katika Wilaya ya Magu. Shule hiyo imejengwa kupitia Mradi wa kuboresha…