Category: MCHANGANYIKO
Serikali yatunga kanuni kuzuia wageni kuingia kwenye leseni ndogo za uchimbaji madini bila utaratibu
Serikali kupitia Wizara ya Madini imetunga kanuni za msaada wa kiufundi katika Leseni ndogo za uchimbaji wa Madini ambapo zitaratibu ushiriki wa wageni katika Leseni ndogo za uchimbaji wa Madini(PML) ambazo kwa mujibu wa kifungu cha 8 cha Sheria ya…
Mndolwa : Mziki wa Rais Samia bado unaendelea umwagiliaji
Mradi wa Membe Kunusuru SGR Dodoma: Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), Raymond Mndolwa amesema kuwa kasi ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan bado inandelea katika miradi ya umwagiliaji na kwamba kila mkoa utafikiwa. Mndolwa amesema miradi…
Tanzania ni mshiriki wetu wa kweli spika Comoro
Spika wa Bunge la Comoro,Moustadroine Abdou amesifu ushirikiano mzuri wa Tanzania na Comoro.Spika Moustadrione ameyasema hayo katika hafla ya chakula cha jioni kuadhimisha miaka 61 ya Muungano iliyoandaliwa na Ubalozi wa Tanzania nchini humo. Spika Moustadrione amezungumzia pia uhusiano mzuri…
Gesi ya Helium yagundulika na kina cha Km 1.14 chini ya Ardhi
Utafiti wafanyika katika visima vinne *Utafiti umegundua gesi ya Helium yenye ubora wa mkusanyiko wa asilimia 7.9 na 5.5 *Zaidi ya ajira 100 zatolewa kwa jamii Momba, Songwe. Na Mwandishi Wetu, Songwe. IMEELEZWA kwamba utafiti wa gesi ya helium uliofanywa…
Majina waliopita usaili TRA hawa hapa
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza majina ya watu waliopita katika usaili wa kuandika na hivyo kuitwa kwa ajili ya kufanya usaili wa mazungumzo. https://www.tra.go.tz/images/uploads/public_notice/english/MAJINA_YA_USAILI.pdf
Brigedia Feruzi : Jukumu la wazazi, walezi ni kujua mwenendo na tabia ya watoto wao
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Wazazi na walezi hapa nchini wametakiwa kuona umuhimu wa kuwasimamia kwa karibu Watoto wao wanaosoma katika shule za msingi na sekondari ili waweze kuepukana na tabia mbaya za utoro, uvutaji bangi na amewahimiza kujenga ushirikiano…