JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

JK ahudhuria mkutano wa kwanza wa uwekezaji wa maji Afrika

Na Mwandishi Maalumu Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, yupo Cape Town, Afrika Kusini, akihudhuria Mkutano wa Kwanza wa Uwekezaji wa Maji Afrika. Tukio hili la kihistoria limeandaliwa chini ya…

Ujenzi wa bwawa la kufua umeme la mto Malagarasi, wapiga hatua mpya

*Mto wachepushwa ili kujenga tuta la kufulia Umeme *Kasi yapamba moto kukamilisha Mradi Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la kufua umeme kwa maji kupitia mto Malagarasi (MW49) umefikia hatua muhimu, kwa kuweza kuchepusha maji ya kwenye mto (kutengeneza njia ya…

Makamu wa Rais ashiriki mkutano SADC-EAC kuangazia hali ya Kongo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya…

Wafanyabiashara wampongeza Rais Samia kwa maboresho ya kodi na Sheria za Biashara

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAFANYABIASHARA Jiji la Dar es Salaam, wameeleza kufarijika na hatua za Rais Samia Suluhu Hassan za kuboresha mfumo wa kodi na sheria za biashara, wakisema zimesaidia kupunguza gharama na kuondoa changamoto zilizokuwa zikikwamisha…

Sajini (SGT) Noela Pallangyo atunukiwa nishani ya Umoja wa Mataifa

Sajini (SGT) Noela Pallangyo ametunukiwa nishani ya Umoja wa Mataifa kwa kutambua majukumu yake na katika huduma ya amani akiwa afisa wa Kitengo cha Polisi cha Kimataifa katika Misheni ya Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Sudan Kusini.