JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Tujipange, Tumalize Uchaguzi Mkuu, tuanze mchakato wa Katiba Mpya

Askofu Mkuu Nkwande: “Mahangaiko na taharuki! Watu hawajui, hivi Tanzania tuliyokuwa nayo tutaendelea kuwa nayo?” Butiku: “Tumalize Uchaguzi Mkuu, tuanze mchakato wa Katiba mpya huku tukijadili hali ilivyo nchini kwa sasa.” Na Kulwa Karedia, JamhuriMedia, Dar es Salaam Askofu Mkuu…

Kampeni ya Kisheria ya Mama Samia yanufaisha maelfu magerezani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Jeshi la Magereza limesema kampeni ya kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, imeleta manufaa makubwa kwa wafungwa na mahabusu zaidi ya 12,000 katika magereza mbalimbali nchini. Kati ya waliofikiwa na kampeni hiyo, mahabusu…

Wananchi watakiwa kuchangamkia biashara ya kaboni

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imetoa wito kwa sekta binafsi na wananchi kwa ujumla kuendelea kuchangamkia fursa za uwekezaji katika biashara ya kaboni ili kuinua uchumi na kuhifadhi mazingira kwa kupanda miti na kuitunza. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu…

TAKUKURU yanasa mali za wakulima za bil.1.4/-

Na Benny Kingson, JamhuriMedia, Tabora TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Tabora imekamata mali za wakulima wa zao la tumbaku zenye thamani ya sh bil 1.4 zilizokuwa zimeibiwa na wafanyabiashara katika vyama vya msingi vya wakulima. Hayo…

Lala salama mwanasiasa mkongwe, hakika nitakukumbuka, Mzee Mustafa Songambele

Na Mohamed Said, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wiki iliyopita imekuwa ya ajabu sana kwangu. Ubongo wangu umekuwa ukishughulishwa na kumbukumbu za watu na mambo mengi ya nyuma nikiwa mtoto mdogo, sijafikia hata umri wa miaka 15 na sijui kwa nini?…