JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

RITA yatoa msaada wa vifaa vya ujenzi wa jengo la kituo cha watoto wenye uhitaji Dar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakala wa Ufilisi na Udhamini (RITA) umekabidhi vifaa vya ujenzi pamoja na mahitaji mengine muhimu kwa ajili ya kuboresha mazingira bora ya makazi na elimu katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Huruma…

Ndejembi atoa siku 14 mkandarasi kurejea mradi wa umeme Songea – Mahumbika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tunduru Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, amempa siku 14 mkandarasi anayetekeleza mradi wa kusafirisha umeme wa msongo wa kilovoti 220 kutoka Songea hadi Mahumbika kupitia Tunduru na Masasi kurejea eneo la mradi na kuendelea na…

JET yatambua mchango wa mwanamke katika kulinda na kuhifadhi mazingira

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET) kinawatakia heri wanawake wote nchini na duniani katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani leo Machi 8,2026. JET inatambua mchango mkubwa wa mwanamke katika…

Wanawake wadau wa madini watembelea wazee Magugu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Babati WANAWAKE wadau wa madini wa Mkoa wa Manyara, wamesherehekea Siku ya Wanawake duniani kwa kuwatembelea na kuwapa vyakula na nguo wazee wasiojiweza wanaolelewa katika kituo cha Magugu Wilaya ya Babati. Makamu Mwenyekiti wa chama cha…