JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

TANESCO, REA, wananchi wanaolipa umeme waunganishwe kwa wakati – Salome

📌Awasha umeme Kitongoji cha Bugofuma wilayani Misungwi📌Wananchi kufungiwa mita janja kurahisisha ununuzi wa umeme Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) pamoja na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha…

Naibu Waziri Dk Dugange akagua kiwanda cha mbolea, dampo la Pugu

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange amehimiza wananchi kuyatumia madampo kukusanyia taka ili zitumike kama malighafi pamoja na kusafisha mazingira. Ametoa wito huo wakati wa ziara ya kukagua shughuli za uchakati wa…

Jeshi la Polisi linafuatilia kwa karibu watu wanaojiita TFF, latoa onyo

Jeshi la Polisi linapenda kujulisha kuwa, linaendelea kutekeleza majukumu yake ya msingi kama yalivyoainishwa na Sheria za nchi. Utekelezaji huo unakwenda sambamba na kushirikiana na wananchi katika kubaini, kuzuia na kutanzua uhalifu jambo ambalo limepelekea nchi yetu kuendelea kuwa shwari….

RUWASA na TANESCO wanatupa usingizi Simanjiro

Na Mwandishi wetu, Simanjiro MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, wamewapongeza mamlaka ya maji na usafi wa mazingira vijijini (RUWASA) na shirika la ugavi wa nishati ya umeme (TANESCO) kwa utendaji kazi wao kwani unawapa usingizi. Hata…

Ujenzi kiwanda cha kuchakata pamba SIMCU (2018) LTD wafikia asilimia 75

Naibu Mrajis – Uhamasishaji, Consolata Kiluma, amekipongeza chama kikuu cha Ushirika SIMCU (2018) LTD, kwa usimamizi wa ujenzi wa ujenzi na ukarabati wa kiwanda cha kuchakata pamba kilichopo wilayani Maswa mkoa wa Simiyu ambacho kinatarajiwa kuanza kazi musimu huu wa…

Dk Mwigulu apanda mti wa mchungwa Kilimanjaro

WAZIRI Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 22, 2026 amepanda mti aina ya Mchungwa katika eneo la Rest House ya Polisi mkoani Kilimanjaro.  Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amemaliza ziara yake ya kikazi mkoani Kilimanjaro jana Februari 21, 2026.