Category: MCHANGANYIKO
REA yajizatiti kufikisha lengo la taifa kwenye sekta safi ya kupikia
📌Mkurugenzi Mkuu REA abainisha hatua zinazochukuliwa 📌Amshukuru Rais Samia kwa kuwezesha Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy amesema Wakala umejizatiti kuhakikisha 80% ya Watanzania wanatumia Nishati Safi ya Kupikia ifikapo mwaka 2034 kama ilivyoelekezwa katika…
‘Kiswahili ni urithi na alama ya umoja kwa nchi za Afrika Mashariki na Bara zima’
Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji uliadhimisha Siku ya Kiswahili Duniani katika ukumbi wa Hoteli ya Polana Serena, jijini Maputo. Tukio hilo lilihudhuriwa na wadau kutoa makundi mbalimbali wakiwemo; Wawakilishi wa Serikali ya Msumbiji; baadhi ya Mabalozi…
Balozi Hamad ateta na Rais wa Bunge la Jamhuri Msumbiji
Balozi Hamad Khamis Hamad amekutana na Margarida Adamugu Talapa, Rais wa Bunge la Jamhuri ya Msumbiji kwenye Ofisi za Bunge hilo Jijini Maputo. Wakati wa mkutano huo, Talapa alimpongeza Balozi Hamad kwa kuteuliwa kuiwakilisha Tanzania nchini Msumbiji na kumhakikishia kila…
Adam Malima Ataka Mkuranga wasirudie Makosa
*Ni kwenye dua aliyowaalika Dk Chakou Tindwa na Abdalla Ulega. *Asema jimbo linataka mtu muungwana kwa wananchi *Asisitiza wachague mtu asiyewafunga funga *Wananchi waunga Mkono,wazungumza Na Mwandishi Wetu JamhuriMedia, Mkuranga Mbunge wa zamani wa jImbo la Mkuranga, Adam Kigoma Malima,amewataka…
NEMC yavunja rekodi utoaji wa elimu sabasaba
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limewapa tuzo washindi watatu wa mazingira challenge shindano lililoandaliwa maalum na baraza kwaajili ya kuhamasisha uhifadhi na utunzaji wa mazingira. Washindi hao walikadhiwa…





