JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Vijana Tanga washiriki usafi hospitali, wakimbia mbio fupi kuhamasisha upigaji kura

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tanga Zaid ya vijana 200 mkoani Tanga wameshiriki mbio fupi maarufu kama jogging, wakitumia dakika 37.6 katika umbali wa kilomita 6.43, lengo likiwa ni kuhamasisha upigaji kura kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Mbio hizo…

Pinda ‘awafunda’ wabunge Rukwa

Na Kulwa Karedia, JamhuriMedia, Sumbawanga Mratibu wa Kampeni Kanda za urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),Kanda ya Magharibi na Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda amewafunda na kuwataka wagombea ubunge wa Mkoa wa Rukwa kuacha tofauti zao walizonazo. Pinda ametoa kauli…

TANESCO yaanzisha mpango wa kukopesha majiko sanifu ya umeme ili kupunguza matumizi ya mkaa

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Nyasa Baadhi ya wananchi mkoani Ruvuma wameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa kuanzisha mpango wa kuwakopesha majiko sanifu yenye presha, ambayo yanatumia umeme kwa ufanisi mkubwa na…

Mwigulu alivyomwaga nondo mkutano Samia Sumbawanga mjini

Na Kulwa Karedia, JamhuriMedia, Sumbawanga Mgombea ubunge wa Jimbo la Iramba Magharibi na Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan amefuta tozo na kodi zaidi ya 200. Mwigulu ametoa kauli…

Auawa na mfuniko wa mtungi wa gesi ya kuzimia moto Bagamoyo

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bagamoyo Mwanamke mmoja aitwaye Mengi Waziri (25), mkulima na mkazi wa Masiwa, Kata ya Dunda, Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, amefariki dunia baada ya kugongwa kichwani na mfuniko wa mtungi wa gesi ya kuzimia moto uliolipuka…

Rukwa na shamrashamra ya kumpokea Dk Samia

Baada ya mikutano mikubwa iliyofanyika katika maeneo ya Mpanda, Kibaoni na Namanyere (Nkasi), leo ni zamu ya Sumbawanga mjini, ambapo Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kufanya…