JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Serikali yawasilisha mipango 1, 082 ya ushirikishwaji wa Watanzania sekta ya madini

*Ni kipindi cha mwezi Julai 2025 hadi Machi 2026, Watanzania 19,695 waajiriwa katika migodi Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Madini imefanikiwa kuwasilisha Mipango 1,082 ya Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini katika kipindi cha Julai…

Pikipiki, Bajaji zisishikiliwe kwa makosa ya faini – Dk Mwigulu

WAZIRI MKUU Dk. Mwigulu Nchemba amesema vyombo moto vinavyotumika katika kujipatia kipato vikiwemo pikipiki na bajaji visishikiliwe kwa makosa madogo pale mhusika anapotambulika badala yake viachwe kwa wahusika ili wavifanyie kazi na kupata fedha za kulipa faini. Mheshimiwa Waziri Mkuu…

Watoto wachomwa moto kisa wizi wa ndizi, Sh 2,000

Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa limewakamata watu wawili kwa tuhuma za kuwafanyia ukatili wa kinyama watoto kwa kuwachoma moto na kuwasababishia majeraha na maumivu makali. Watuhumiwa hao ni Fortunatus Benezet Mawela (60), mkazi wa kijiji cha Singiwe Wilaya ya…

Tusiwaachie walimu malezi, tujenge desturi ya kuwatembelea watoto shuleni

Shule ni taasisi muhimu kwa watoto kukuzwa kiafya ya akili na mazingira, kila mzazi anapompoleka mtoto shule huwa anajukumu la kuhakikisha mahitaji muhimu ya kujifunzia ikiwemo, sare za shule, daftari karamu na mahitaji mengine mtambuka. Walimu hutimiza majukumu yao kwa…

Serikali yaelimisha wananchi biashara ya kaboni

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imeendelea kufanya jitihada mbalimbali ili kuhakikisha elimu ya upandaji miti inatolewa kwa wanachi hususan wale wa vijijini ili waweze kushiriki vizuri katika biashara…

DC Mpogolo atoa onyo kali kwa wakandarasi Ilala

Na Mwandishi Wetu, JamhurMedia, Ilala Mkuu wa Wilaya ya Ilala, mkoani Dar es Salaam, Edward Mpogolo, ametoa onyo kali kwa wakandarasi wote wanaotekeleza miradi ya ujenzi wa barabara wilayani humo, akiwataka kuzingatia mikataba na kukamilisha kazi kwa wakati. Onyo hilo…