JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Rais Mwinyi : Ijitimai kufungua fursa za kiuchumi kwa wananchi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kufanyika kwa Ijitimai na kuwasili kwa wageni kutoka mataifa mbalimbali kutafungua fursa za kiuchumi kwa wananchi, hususan wafanyabiashara wadogo, na kuchangia ongezeko la kipato. Rais…

Silaha 17 za moto zasalimishwa Tabora

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora JUMLA ya silaha za moto 17 na risasi 19 zimesalimishwa kwa hiari katika Vituo vya Polisi na Ofisi za Serikali za Vijiji na Kata Mkoani Tabora kufuatia zoezi linaloendelea nchi nzima la usalimishaji silaha haramu…

Prof. Shemdoe aitaka Manispaa Lindi kukamilisha mchakato upatikanaji hati ya ardhi Kampasi ya UDSM Lindi

Na OWM – TAMISEMI, Ruangwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, ameitaka Halmashauri ya Manispaa ya Lindi kukamilisha mchakato wa kushughulikia upatikanaji wa hati ya umiliki wa…

Serikali yataka uchaguzi TALGWU udumishe umoja, amani

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Wakati Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) kikielekea kupata uongozi mpya, Serikali imewataka wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa chama hicho kuhakikisha mchakato huo unafanyika kwa amani, utulivu na kwa kuzingatia…

Chalamila: Shule mpya 29 za sekondari zinajengwa Dar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema shule mpya zaidi ya 29 za sekondari zinajengwa kwa ajili ya kuwapokea wanafunzi 230,000 wanaotarajiwa kuanza kidato cha kwanza mwaka 2028. Akizungumza Dar…