Category: MCHANGANYIKO
Ukatili dhidi ya watoto, vijana wapungua- Waziri Gwajima
Na WMJJWM-Dar es Salaam 📌 Serikali yaahidi kutumia matokeo hayo kupanga mikakati na mipango na programu mbalimbali ya Serikali za kupambana na Ukatili. Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amesema matokeo ya…
Ubalozi wa Denmark waadhimisha siku ya katiba ya taifa lao
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Siku ya Katiba ya Denmark ama pia maarufu kwa jina la (GRUNDLOVSDAG ) ni siku muhimu inayohusiana na historia ya katiba ya nchi hiyo. Siku hii inahusiana na kupitishwa kwa katiba ya kwanza ya Denmark mwaka…
Mchechu : Kwanini kila taasisi inapaswa kuchangia mapato yasiyo na kodi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katika safari ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii, mchango wa taasisi za umma kupitia gawio na mapato mengine yasiyo ya kodi, ni chachu ya ustawi wa taifa. Serikali imewekeza jumla ya Sh86.3 trilioni…