JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Serikali imeendelea kuchukua hatua kukabiliana na athari za mazingira

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imeendelea kuchukua hatua mbalimbali za kukabiliana na changamoto za athari za mabadiliko ya tabianchi zinazochangia kuongezeka kwa kina cha bahari na kuathiri fukwe mbalimbali. Hayo yamesemwa na Naibu wa Waziri Ofisi ya Makamu wa…

Baada ya kujenga daraja, Aliko ataka ubunge CCM

Na Ruja Masewa, JamhuriMedia,Rungwe Baada ya kuchangia maendeleo mara nyingi ikiwemo Ujenzi wa Madaraja katikaJimbo la Rungwe mkoani Mbeya, Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwaiteleke Foundation Aliko Anyambilile Mwaiteleke, sasa anautaka ubunge Rungwe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Aliko aliyejitolea kutunza…

Mradi wa kuzalisha umeme wa jua Kishapu wafikia asilimia 63.3 – MD Twange

📌Asema awamu ya kwanza utazalisha Megawati 50 na kuingizwa kwenye Gridi ya Taifa Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kishapu Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Bw. Lazaro Twange amesema Mradi wa uzalishaji umeme unaotokana na jua wa Kishapu Mkoani Shinyanga umefikia asilimia 63.3…

Usiyoyajua kuhusu chifu aliyezikwa katika kaburi la mviringo akiwa ameketi Mbinga

Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Ruvuma KATIKA kijiji cha Mbuji kilichojificha kwenye vilima vya wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, kuna kaburi la aina yake kaburi linalobeba historia ya maumivu, ujasiri, usaliti, na ushindi. Hili si kaburi la kawaida. Ni kaburi la…