JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Martha Karua wa Kenya aingia katika 18 za Wasira

*Ni Mwanasheria aliyekuja nchini kumteteaTundu  Lissu *Amtaka aache kuingilia mambo asiyoyajua,Uhuru wa.Mahakama *Asema kama anajiona anaweza kutatua migogoro aende nchi nyingine za Afrika *Amtahadharisha kujipima ubavu na CCM, hakuna wa kukishinda uchaguzi mkuu Na Mwandishi Wetu,Dodoma MAKAMU Mwenyekiti wa Chama…

Hotuba ya Rais Samia katika Maadhimisho ya Miaka 61 ya Muungano

Ndugu Wananchi;Kesho ni siku muhimu sana na ya kihistoria kwetu Watanzania. Tutaadhimisha miaka 61 tangu waasisi wa Taifa letu, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Sheikh Abeid Amani Karume, walipofanya kitendo cha kishujaa cha kuunganisha nchi zetu mbili na kuunda Jamhuri…

Ushindani wa Yanga, Simba haupo CCM, jiepusheni na makundi ndani ya chama – Dk Tulia

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha SPIKA wa Bunge na Rais wa 31 wa Muungano wa Mabunge Duniani IPU ,Dkt. Tulia Ackson, amewataka wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kibaha Mjini, mkoani Pwani, kuacha ushindani na makundi ndani ya chama, ambao…

Kesi ya Lissu; wananchi wana haki ya kujua kinachoendelea

Na Mwandishi wetu–Jamhuri MediaDar es salaam Naibu katibu Mkuu bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Amani Golugwa, amesema kuwa kesi inayomkabili Tundu Lissu haiwezi kuchukuliwa kama vita dhidi ya wananchi, na akasisitiza kuwa wanachama pamoja na umma wana…

Maambukizi ya Malaria yapungua kwa asilimia 45

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Dunia ikiwa inaadhimisha siku ya Malaria, nchini Tanzania takwimu zinaonesha kiwango cha maambukizi ya ugonjwa wa Malaria kimepungua kwa takribani asilimia 45 kutoka asilimia 14.8 mwaka 2015 hadi kufikia asilimia 8.1 mwaka 2022. Takwimu hizo zinaonesha Mkoa…

Bilioni 36/- kunufaisha wakulima 5,000 kwa umwagiliaji Nzega

📍NIRC:Nzega, Tabora Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imekabidhi awamu ya tatu ya utekelezaji wa Mradi wa Umwagiliaji wa Skimu ya Idudumo, wenye thamani ya zaidi ya Sh. bilioni 36, kwa Mkandarasi Kampuni ya Mkwawa Logistics and Construction Limited. Mradi…