JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Jamii yaaswa kutowaficha wagonjwa wa ukoma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Waziri wa Afya Mohamed Mchengerwa ameiasa jamii kuachana na dhana potofu ya kuficha wagonjwa wa Ukoma na kujitokeza wanapobaini viashiria vya ugonjwa huo ili kurahisisha jitihada za Serikali kutokomeza ugonjwa huo nchini. Waziri Mchengerwa alisema…

Waziri Mkuu ashiriki zoezi la upandaji miti Dodoma

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 27, 2026 ameshiriki zoezi la upandaji miti, mbele ya ofisi ya Waziri Mkuu Mlimwa Jijini Dodoma. Zoezi hilo ni sehemu ya hatua ya kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt….

Adaiwa kumchoma kisu mkewe baada ya kubaini akitumia dawa za ARV kwa kificho

Na Crecensia Kapinga, JamhuriMedia, Ruvuma Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linamshikilia mwanaume mmoja kwa tuhuma za kumjeruhi mke wake (majina yamehifadhiwa) kwa kumchoma na kisu tumboni upande wa kushoto hadi utumbo kutoka nje baada ya kugundua kuwa mkewe alikuwa akitumia…

Afariki kwa kung’atwa na mamba wakati akioga usiku wilayani Nyasa

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea MWANAMKE mmoja Catherine Kinyongile (56) mkazi wa kijiji cha Ndonga kilichopo katika Wilaya ya Nyasa Mkoa wa Ruvuma amefariki dunia baada ya kukamatwa na mamba wakati akioga katika eneo la fukwe la forodha ya Hyetu…