Category: MCHANGANYIKO
Mgombea urais CUF, Gombo aahidi wazee miaka 60 akiingia madarakani watalipwa posho kila mwezi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora, Mgombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo amewahakikishia wazee kwamba kwenye Serikali yake wazee wote wenye umri kuanzia miaka 60 watalipwa posho kwa kuwa…
Mama Salma: Njia pekee kuthamini kazi kubwa aliyofanya Dk Samia ni kumpa kura, Ridhiwan kiongozi mwenye dira
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Chalinze Mke wa Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Mama Salma Kikwete, ametoa wito kwa wananchi wa Jimbo la Chalinze, kumpigia kura za kishindo mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu Hassan, akisema…
Kufufuliwa kwa reli ya TAZARA, ujenzi wa reli kusini utaleta mageuzi makubwa kiuchumi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kufufuliwa kwa Reli ya TAZARA, ujenzi wa reli ya kusini Mtwara -Mbamba bay) utaleta mageuzi makubwa ya kiuchumi kwa mikoa ya Kusini na…
Bilioni 51/- za mradi wa TACTIC kuongeza thamani ya Jiji la Mbeya
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Mradi wa Uendelezaji Miji Tanzania (TACTIC) unatekeleza miradi yenye thamani ya Shilingi Bilioni 51 katika halmashauri ya jiji la Mbeya ikiwa ni uendelezaji wa jiji hilo katika eneo la miundombinu ya barabara, masoko na stendi….





