Category: MCHANGANYIKO
Gugu afungua kituo cha Polisi Namtumbo, ampa tano Rais Samia
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Namtumbo Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Ally Senga Gugu amefungua kituo cha Polisi Cha Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma chenye hadhi ya Daraja B ambacho kimejengwa kwa thamani ya sh. Milioni 798….





