JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Mfumo jumuishi wawezesha wafanyabiashara 50 wa mazao kufuata misingi ya ikolojia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma MFUMO jumuishi uliotengenezwa na Shirika la Islands of Peace (IDP), umewezesha wafanyabishara 50 wa mazao na bidhaa za kilimo ikolojia mkoani Arusha kufuata hatua na taratibu za kibiashara na misingi ya kiikolojia. Hayo yamesemwa na…

Kamati ya Bunge yaridhishwa na kasi ya ujenzi wa jengo la ghorofa 10 CBE

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, Mhe. Deodatus Mwanyika (Mb), ameeleza kuridhishwa kwake na hatua ya ujenzi wa jengo la kisasa la Vipimo na Viwango katika Chuo cha…

Ushirikiano wa TEITI na mgodi wa Geita waongeza uwazi na uwajibikaji katika rasilimali

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Geita Mwenyekiti wa Kamati ya TEITI, Balozi Wilson Masilingi, ametembelea Mgodi wa Dhahabu wa Geita Gold Mining Limited akiambatana na Menejimenti ya TEITI, kwa lengo la kujitambulisha na kufanya mazungumzo na menejimenti ya mgodi huo. Akizungumza…

BoT yashiriki wadau mpangp wa kuanzosha kampuni ya udhamini wa mikopo

Na Mwandishi Wetu Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ikiongozwa na Naibu Gavana wa Sera za Uchumi na Fedha, Dkt. Yamungu Kayandabila, imefanya kikao na wadau mbalimbali kujadiliana kuhusu mpango wa kuanzishwa kwa kampuni ya utoaji na usimamizi wa dhamana za…

Kamati ya Kudumu ya Bunge Nishati na Madini yaridhishwa na maendeleo ya kiwanda cha nguzo za zege

*Ni mradi wa kihistoria kutekelezwa chini ya Serikali ya awamu ya Sita Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia, Tabora Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeridhishwa na Ujenzi wa Kiwanda cha Zege kinachomilikiwa na kampuni tanzu ya TANESCO ya…

Prof. Kabudi ashiriki maadhimisho Siku ya Jumuiya ya Madola jijini London

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Palamagamba Kabudi, ameshiriki katika maadhimisho ya Siku ya Jumuiya ya Madola yaliyofanyika jijini London, Uingereza, yakihusisha nchi wanachama 56 wa jumuiya hiyo. Sherehe hiyo ilijumuisha matukio mbalimbali, ikiwemo hafla ya kupandisha…