Category: MCHANGANYIKO
JK kwa mfalme Swati III kujadili upatikanaji wa fedha ya afya kwa nchi wanachama ECSA
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) ameshiriki Mkutano wa 67 wa Mawaziri wa Afya kutoka nchi 9 wanachama za Jumuiya ya Afya ya…
Waziri Mkumbo aweka hadharani Dira 2050 na mwelekeo wa uchumi wa taifa
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema Tanzania imejipanga kikamilifu kutekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kupitia mipango thabiti ya muda mrefu, wa kati na mfupi inayolenga kuijenga nchi yenye uchumi jumuishi, ustawi…
Mahakama Pwani yairejesha Serikalini milioni 707 kesi za uhujuu uchumi
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Mkuu wa Pwani, Abubakar Kunenge, ameipongeza Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Pwani kwa kuiwezesha Serikali kufidiwa kiasi cha sh milioni 707 baada ya kumalizika kwa mashauri nane (8) ya uhujumu uchumi yaliyohusisha uharibifu wa…
Ngozi asisitiza kulinda amani iliyodumishwa na waasisi wa taifa
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, Taifa na Mlezi wa Mkoa wa Pwani, Lailah Burhan Ngozi, amewataka Watanzania kuilinda kwa nguvu zote amani ya Tanzania waliyoachiwa na waasisi wa Chama cha Mapinduzi…
Mahakama Kuu Kanda ya Songea yafanikiwa kumaliza kesi 19 kati ya 22
Na Mwandishi Wetu, Songea MAHAKAMA kuu kanda ya Songea,imefanikiwa kumaliza kusikiliza mashauri 19 ya kimkakati sawa na asilimia 86 yanayohusu kodi,biashara,benki na ardhi kati ya 22 yaliyofikishwa mahakamani mwaka 2025. Hayo yamesemwa jana na Jaji Mfawidhi wa Mahakama kuu kanda…





