Category: MCHANGANYIKO
Afrika ipewe uhuru wa kuzalisha nishati kwa kutumia raslimali zake – Dk Biteko
*Ahimiza Tanzania na Urusi kuendeleza uhusiano wake wa kuheshimiana *Tanzania kutumia makaa ya mawe kuzalisha umeme wastani wa megawati 120 *Tanzania yapongezwa kwa mafanikio yake sekta ya nishati *Ahimiza mfumo sawa wa uzalishaji nishati kati ya nchi tajiri na masikini…
Wananchi Kata za Moshono, Ol-Oirien washiriki kufanya usafi wa mazingira mto Enchoro e ndia
Happy Lazaro,Arusha, JamhuriMedia, Arusha Wananchi wa Kata za Moshono na Ol-oirien wamejitokeza kwa wingi kuondoa takataka za plastiti katika Mto wa Enchoro e ndia na kingo zake ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Mazingira duniani ambayo Kauli mbiu ya…
Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, TAKUKURU yajipanga kudhibiti harufu ya rushwa
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile (Mb), ameielekeza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuhakikisha inasimamia kwa karibu na kwa uthabiti miradi yote ya maendeleo, huku akisisitiza kuwa miradi yenye viashiria vya rushwa haipaswi…
Naibu Waziri Kihenzile asisitiza utoaji huduma zenye tija kwa wananchi kupitia sekta ya uchukuzi
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Katika kuadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma mwaka 2025, Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile (Mb), ametembelea banda la Wizara ya Uchukuzi katika Viwanja vya Chinangali Dodoma, ambapo amepongeza jitihada za watumishi wa sekta hiyo kwa kuendelea…
Rais Dk Samia afungua mradi wa maji Lamadi Simiyu
Busega wakati akihitimisha ziara yake ya kikazi mkoani Simiyu tarehe 19 Juni, 2025.
Rais Samia azindua mradi wa maji wenye thamani ya bilioni 12 Busega Simiyu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Simiyu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Mradi wa Maji wenye thamani ya zaidi ya Shilingi bilioni 12 katika Wilaya ya Busega, mkoani Simiyu. Mradi wa Lamadi ni…





