JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Msigwa airarua CHADEMA, “aitaka Reform kwao”

Na Ruja Masewa, JamhuriMedia, Mbeya Mara baada ya kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM), aliyekuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa amewararua akidai, kabla ya kuifundisha CCM reforms wafanye kwanza reform ndani…

TANESCO yashinda tena tuzo za ubora huduma kwa wateja za CICM

📌Urahisi wa upatikanaji huduma kwa njia za kidigitali watajwa moja ya kigezo cha kushinda tuzo hiyo 📌MD Gissima aibuka kidedea kwa Kusimamia Maboresho yenye tija huduma kwa wateja Sekta ya Umma. Shirika la umeme Tanzania TANESCO kwa mara nyingine tena…

Wanakwaya saba wafariki, 75 wajeruhiwa katika ajali mbili tofauti Same

Na Ashrack Miraji, JamhiriMedia, Same Watu saba wamefariki dunia na wengine 75 wamejeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea wilayani Same. Ajali ya kwanza ilitokea majira ya saa saba usiku wa kuamkia leo katika maeneo ya Njoro na kuhusisha basi la…

CCM yampa Peter Msigwa jukumu la kupigania ushindi Kanda ya Ziwa

Na Mwandishi Wetu Mchungaji Peter Msigwa, ambaye awali alihusishwa na tetesi za kurejea chama chake cha awali, Chadema, amepewa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) jukumu muhimu la kupigania ushindi wa chama hicho katika Kanda ya Nyasa. Akihutubia maelfu ya wanachama…

Akiba Commercial Bank Plc yaweka tabasamu Kituo cha Kulea Watoto- Chakuwama Sinza

Na Magrethy Katengu-Jamhuri MediaDar es Salaam Akiba Commercial Bank Plc imeguswa kuendelea kuunga Mkono jamii kwa kutoa msaada wa mahitaji mbalimbali katika kituo cha kuelelea Watoto Yatima kilichopo Sinza Dar es salaam. Amebainisha hayo Machi 28,2025 Dar es salaam Bi…