Category: MCHANGANYIKO
Marufuku wakopeshaji, kudhalilisha wakopaji
Na Boniphace Mwabukusi, Jamhuri Media, Dar es Salaam Si halali kwa kampuni ya kukopesha au benki kumkejeli au kumtangaza vibaya mteja aliyeshindwa kulipa rejesho kwa ukamilifu. Kwa mujibu wa sheria za Tanzania, mteja ana haki ya faragha na heshima yake…
Kwa nini Watanzania hawana furaha?
Orodha ya kila mwaka ya viwango vya furaha inaendelea kuongozwa na nchi za Nordic, zinazozijumuisha Denmark, Finland, Iceland, Norway na Sweden, huku Finland ikiendelea kushikilia nafasi ya kwanza miongoni mwao tangu mwaka 2018. Denmark ni ya pili, Iceland (3), Sweden…
Naibu Waziri Mwinyijuma akabidhi hati 33 za mashamba kwa wananchi Kwabada
Na Ashrack Miraji, JamhuriMedia, Jamhuri Media Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamisi Mwinyijuma ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Muheza, Mkoani Tanga, amegawa hati 33 za mashamba ya Kwabada, katika shamba la Lewa, ambalo lilikuwa na…
Maagizo matano yatolewa kuongeza ufanisi kampuni ambazo Serikali ina hisa chache
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani SERIKALI imetoa maagizo matano kwa wakurugenzi wa bodi za kampuni ambazo ina umiliki wa hisa chache, ikiwa ni sehemu ya jitihada ya kuboresha ufanisi wa taasisi wanazoziongoza. Maagizo hayo yaliyotolewa wilayani Kibaha, mkoani Pwani katika…
Walimu wanyukana, mmoja atoa adhabu kwa wanafunzi, mwenzake aitengua
Na Stella Aron, JamhuriMedia, Bagamoyo Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Mapinga, Johaness Nyambaza, anadaiwa kwenda shuleni akiwa na panga analoliweka ndani ya begi. Kitendo hicho kinadaiwa kuwasababishia walimu na wanafunzi wa shule hiyo iliyopo Bagamoyo mkoani Pwani kusoma na…
Wauguzi imarisheni usimamizi utoaji huduma bora za afya nchini – Dk Dugange
OR-TAMISEMI Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange amewaelekeza Wauguzi Viongozi wa ngazi zote za afya nchini kuhakikisha wanaimarisha usimamizi wa utoaji wa huduma bora ili wananchi wote wapate huduma bora…