Category: MCHANGANYIKO
Rais Mstaafu Kikwete awasilisha ujumbe maalum kutoka kwa Rais Samia kwa Rais wa Algeria
Algiers, Machi 26, 2025 – Rais Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amewasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa Mhe. Abdelmadjid Tebboune, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya…
Wafanyabiashara Songea waiomba CRDB kutoa elimu ya mikopo ya kilimo
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea WAFANYABIASHARA wilayani Songea mkoani Ruvuma wameiomba Benki ya CRDB kutoa elimu zaidi kuhusu mkopo wa kilimo ili waweze kufaidika na huduma hiyo kwa ufanisi zaidi na kuongeza uzalishaji wenye tija na si vinginevyo. Ombi hili…
Uchaguzi Mkuu: No Road, No Silaa
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi mkuu. Wiki iliyopita nimezungumzia suala la ukomo wa wabunge wa viti maalum na nikaisihi serikali iangalie uwezekano wa kutanua wigo ukomo uende na kwenye viti vya majimbo….
Mchengerwa : Daraja la uhoro ni mkombozi kwa wananchi Rufiji
OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa, amesema ujenzi wa Daraja la Muhoro utaleta ukombozi kwa wananchi wa Kata ya Muhoro, ambao kwa muda mrefu wamekumbwa na changamoto za usafiri na hata kupoteza maisha wanapovuka Mto Rufiji….
TANAPA itangazeni Hifadhi ya Mkomazi – Majaliwa
*Awataka wananchi kutumia fursa za kiuchumi zinazotokana na Utalii katika hifadhi hiyo. *Aiagiza Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuimarisha Mawasiliano. WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameiagiza Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kuanzisha programu za kutangaza vivutio vilivyopo katika…
WMA yajivunia mafanikio yake ikiwemo kuajiri wafanyakazi 186
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Alban Kihulla, amesema kuwa moja ya mafanikio makubwa na ya kihistoria ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka minne ya utawala wake ni kuajiri wafanyakazi…