Category: MCHANGANYIKO
Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji Simanjiro afikishwa mahakamani kwa rushwa
Katika Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro, Mei 8, 2025 limefunguliwa shauri la Uhujumu Uchumi namba 11041/2025 mbele ya Onesmo Nicodemo, Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro dhidi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Simanjiro Samuel Warioba…
Kapinga azindua kituo mama cha gesi asilia iliyoshindiliwa (CNG) Dar
📌 Ni cha Pili kwa ukubwa barani Afrika; Cha Kwanza kwa ukubwa EAC 📌 Kujaza Gesi Asilia kwenye magari 1200 kwa siku 📌 Ampongeza Dkt. Samia kutatua changamoto za wananchi kwa vitendo 📌 Aipongeza TPDC; Ataka Vituo vya CNG kuendelea…
Shirika la Posta Tanzania lashiriki kongamano la eLearning Afrika, laja na huduma ya Swifpack
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam SHIRIKA la Posta Tanzania ni miongoni mwa washiriki katika kongamano la 18 la eLearning Afrika ambapo limetambulisha huduma ya ‘Swifpack’. Swifpack inalenga kuchukua vifurushi na abiria kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa urahisi…
Matumizi ya nishati safi ya kupikia kufikia asilimia 75 mwaka 2030 – Dk Biteko
📌 Dkt. Biteko akutana na Balozi wa Japan nchini 📌 Tanzania na Japan kuendelea kuimarisha ushirikiano wake 📌 Dkt. Biteko aishukuru Japan kufadhili mradi wa umeme Singida Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu…
Wajumbe, mabalozi 2,200 wanufaika na mafunzo ya utatuzi wa migogoro Songea
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Songea WIZARA ya Katiba na Sheria, imeanzisha program ya kutoa mafunzo ya utatuzi wa migogoro kwa njia mbadala ambapo wajumbe na mabalozi 2,200 kutoka kata 11 za jimbo la Songea mkoani Ruvuma wamenufaika. Mafunzo hayo yalifunguliwa…