JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Majaliwa: Tuwapende, tuwajali wanafunzi wenye mahitaji maalum

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wanafunzi wa shule zote nchini kuwatunza, kuwapenda na kuwajali wanafunzi wenzao wenye mahitaji maalum ili nao waweze kutimiza ndoto zao. Amesema Serikali imejenga miundombinu bora ambayo sasa inawawezesha wanafunzi wenye mahitaji maalum kusoma…

Mkuchika atangaza rasmi kutogombea ubunge

Mbunge wa Jimbo la Newala Mjini mkoani Mtwara ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum) Kapteni Mstaafu George Mkuchika ametangaza rasmi kutogombea tena nafasi ya ubunge katika uchuguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025. Akizungumza wakati…

Kuondolewa kwa hitajio la VISA kwa Watanzania wanaoingia DRC

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kufahamisha Umma kwamba, Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imeondoa hitajio la Visa kwa raia wa Tanzania wanaoingia DRC kuanzia tarehe 20, Machi, 2025. Baada ya Jamhuri…

Wakazi wa Dar waombwa kujitokeza kwa wingi zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga kura

Na Mary Margwe, Dar es Salaam Kaimu Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam Jacob Siay amewataka wanachama na wananchi wote Jijini hapa kuhakikisha wanajitokeza kwa wingi katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la kudumu la mpiga kura ili…

COSOTA kuwanufaisha wasanii kupitia mgao wa fedha za mirabaha ya hatimiliki

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Ofisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA)imesema imeandaa mgao wa mapato ya mirabaha kutokana na fedha za tozo ya Hatimiliki unategemewa kunufaisha makundi ya kazi za muziki, filamu, maandishi, sanaa za ufundi na sanaa za maonesho Kila daraja litapata…