Category: MCHANGANYIKO
Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani; TRA yakabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya milioni 40
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam KUELEKEA maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayoadhimishwa kila mwaka Machi 8, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi milioni 40 kwa ajili ya kusaidia utoaji wa huduma…
SADC yahimiza mtangamano wenye matokeo chanya katika kikanda
Mkutano wa Kamati ya Makatibu Wakuu wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umeanza jijini Pretoria, Afrika Kusini Machi 07, 2026, chini ya Uenyekiti wa Balozi Tebogo Seokolo ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uhusiano wa Kimataifa…
Museveni azindua Mfumo wa Dhamana ya Forodha EAC, biashara ya kikanda kupata kasi mpya
Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, leo amezindua rasmi mfumo wa dhamana ya forodha wa kikanda (EAC Custom Bond) wakati wa Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)…
Ruto aaga uenyekiti EAC, apongeza mafanikio ya ushirikiano wa kikanda
Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Rais wa Kenya, William Samoei Ruto, amepongeza mafanikio yaliyopatikana katika kuimarisha ushirikiano wa kikanda wakati akihitimisha kipindi chake cha uenyekiti wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Akizungumza katika mkutano…
Naibu Waziri Ndege atoa msaada wa futari na fedha kwa Waislamu Babati
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Babati Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Manyara, Regina Ndege, amekabidhi futari na daku kwa waumini wa kiislamu kwa Madrasa…
Dk Nanauka azindua mitaji ya kuwezesha utekelezaji wa miradi iliyoibuliwa na vijana wa BBT – uvuvi
………………………………………………. Na Hellen Mtereko,Mwanza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana, Dkt. Joel Nanauka amezindua programu ya kuwezesha mitaji kwa vijana watakaotekeleza miradi ya ufugaji samaki kwa njia ya vizimba. Hafla hiyo imefanyika leo Jumamosi Machi 07, 2026…





