Rais Dk Mwinyi azindua Kamati ya majadiliano ya pamoja kati ya CCM na ACT
JamhuriComments Off on Rais Dk Mwinyi azindua Kamati ya majadiliano ya pamoja kati ya CCM na ACT
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizindua Kamati ya Pamoja ya Majadiliano ya CCM na ACT Wazalendo, akisisitiza kuendeleza maridhiano, amani, umoja na utulivu wa kisiasa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar mstaafu na Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Mhe. Othman Masoud Othman, baada ya hafla ya uzinduzi wa Kamati ya Pamoja ya Majadiliano ya CCM na ACT Wazalendo.