Category: MCHANGANYIKO
Mahakama yaamuru Lissu afikishwe mahakamani Mei 19, mwaka huu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu afikishwe mahakamani hapo Mei 19, 2025 na Mkuu wa Gereza la Ukonga. Lissu anayekabiliwa na mashtaka matatu…
Waziri Mavunde atangaza kiama kwa kampuni 95 za uchimbaji madini
▪️Yatoa hati za makosa kwa kukiuka masharti ya Leseni ▪️Kampuni 7 tu kati ya 95 ambazo hazijaanza uchimbaji zimelaza mtaji wa Trilion 15 ▪️Zapewa siku 30 kujibu hoja Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI imetoa Hati za Makosa…
REA yapongezwa na Jeshi la Magereza kwa uhamasishaji nishati safi
📌Rais Samia apewa kongole uhamasishaji nishati safi 📌REA, STAMICO kushirikiana uzalishaji wa Rafiki briquettes 📌Kiwanda cha Rafiki briquettes mbioni kujengwa Geita Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Geita Wakala wa Nishati Vijijini (REA), umepongezwa na Jeshi la Magereza kwa kuhamasisha, kuwezesha matumizi…
Baba na mwana wahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kusafirisha bangi kilo 398 Tabora
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Mahakama ya Jakimu Mkazi Wilaya ya Nzega mkoani Tabora imewahukumu kifungo cha maisha jela baba na mtoto kwa kukutwa na hatia ya kusafirisha bangi kutoka Nzega Tabora na kuzipileka mkoani Shinyanga kinyume na sheria za…
Waziri Ulega aomba bajeti ya trilioni 2.280, akitoa onyo kali kwa makandarasi waliopo nchini
Wizara ya Ujenzi nchini Tanzania katika Mwaka wa Fedha 2025/26 imeliomba Bunge la Tanzania kuidhinisha Jumla ya Shilingi 2,280,195,828,000.00, kwa ajili ya matumizi ya kawaida na utekelezaji wa miradi ya maendeleo ambapo takribani Shilingi 2,189,727,558,000.00 zimeelekezwa kwenye utekelezaji wa miradi…