Category: MCHANGANYIKO
Dk Mpango akemea vikali tukio la kushambuliwa kwa katibu Mkuu TEC Padri Kitima
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema Serikali inalaani vikali na kukemea tukio la kushambuliwa na kuumizwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) Padre Dkt. Charles Kitima pamoja na matukio mengine…
REB yaridhishwa matumizi ya nishati safi Gereza la Butimba
📌Wapongeza mifumo ya nishati safi ya kupikia 📌REA yapongezwa kwa kuhamashisha matumizi ya nishati safi Wajumbe wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB) wamefanya ziara ya kutembelea Gereza Kuu la Butimba lililopo jijini Mwanza kwa lengo la kukagua utekelezaji wa mradi…
Jumla ya watahiniwa 134,390 kufanya mtihani wa kidato cha Sita kesho
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam JUMLA ya watahiniwa 134,390 wamesajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita 2025 unaoanza kesho ambapo watahiniwa wa shule ni 126,957 na watahiniwa wa kujitegemea ni 7,433. Akizungumza na waandishi wa habari leo Mei…
Rais Samia amedhamiria kuleta Serikali kwa wananchi ili kuleta maendeleo -Mchengerwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imedhamiria kwa dhati kuisogeza Serikali…
THRDC yatoa Jacketi za usalama kwa JOWUTA
.Yamuomba Rais Maridhiano ya Kisiasa Mwandishi wetu,Dar es Saalam. MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binaadamu Tanzania(THRDC) umekabidhi jaketi za usalama kwa waandishi wanachama wa Chama cha Wafanyakazi katika Vyombo vya Habari Tanzania(JOWUTA) huku ikimuomba Rais Samia Suluhu kurejesha maridhiano…
Dk Biteko aipongeza ETDCO kwa kutekeleza mradi wa kusafirisha umeme Tabora Urambo
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, ameipongeza Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme (ETDCO) chini ya uongozi wa Kaimu Meneja Mkuu wa kampuni hiyo CPA. Sadock Mugendi kwa…