Category: MCHANGANYIKO
Lukuvi : Serikali itaendelea kumuenzi hayati Rais Magufuli
Serikali imesema itaendelea kumuenzi Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, Dk John Magufuli. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, William Lukuvi ametoa ahadi hiyo kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan. Lukuvi alitoa ahadi…
Maeneo ya kijamii yamepewa kipaumbele kufikiwa na umeme – Kapinga
Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini umetoa kipaumbele kwenye maeneo yanayotoa huduma za kijamii ikiwemo Shule, Taasisi, vituo vya afya, zahanati na maeneo ya visima vya maji kwa sababu ni maeneo yanayotoa huduma kwa…
Bodi ya wakurugenzi TAWA yaanza kikao chake Mbeya
Na Beatus Maganja, Mbeya. Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA imekutana leo Machi 18, 2025 Jijini Mbeya Kwa ajili ya kuanza kikao chake cha Kawaida cha 30 cha Bodi hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti wake…
Majaliwa: Serikali inatambua mchango wa wadau mbalimbali katika elimu ya ufundi stadi
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inatambua mchango wa wadau mbalimbali katika kutoa elimu ya Ufundi Stadi. Majaliwa ameyasema hayo leo Machi 18, 2025 katika Maadhimisho ya miaka 30 ya Uanzishwaji wa Mamlaka…
Waziri Mkuu mgeni rasmi maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani
Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Dodoma Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa (Mb) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani itakayoenda sambamba na Siku ya Upandaji Miti Kitaifa itakayofanyika Machi 21, 2025 Mkoani…
Dodoma,Mwanza kunufaika na ujenzi wa maabara zitakazo ongeza ufanisi wa vipimo vya sampuli
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Katika kutekeleza azma ya Serikali ya kuhakikisha wananchi wanapata huduma kwa ukaribu na kupunguza gharama, Shirika la Viwango Tanzania(TBS)limeanza kusogeza huduma Karibu na Wateja kwa kuanzisha ujenzi wa maabara katika mikoa ya kimkakati ya Dodoma na Mwanza….