JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani, ACT Wazalendo wazindua mnara wa kumbukizi ya waliofariki Oktoba 29

Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia, Dar es salaam Kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Chama cha ACT Wazalendo kupitia ngome yake ya wanawake kimezindua mnara wa kumbukumbu kwa ajili ya watu waliopoteza maisha kufuatia matukio ya vurugu yaliyotokea Oktoba 29,…

Prof. Shemdoe aelekeza maafisa lishe na Maendeleo ya Jamii kupatiwa usafiri

Na OWM – TAMISEMI, GEITA Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI Mhe. Prof. Riziki Shemdoe ameelekeza Maafisa Lishe na Maendeleo ya Jamii wanaosimamia utekelezaji wa Mradi Jumuishi wa Lishe katika Mkoa wa Geita, Tabora na Iringa kupatiwa vyombo…

Vijana 93, 495 wanufaika mafunzo uanagenzi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imesema itaendelea kuratibu na kuimarisha Sera, Sheria na Miongozo inayosimamia programu za Mafunzo ya Uanagenzi na kuhamasisha sekta binafsi kushiriki kikamilifu katika kutoa nafasi za mafunzo kwa vitendo kwa wanagenzi nchini. Waziri wa Nchi…

Waadhimisha Siku ya Wanawake kwa kupanda miti, kugawa misaada Babati

Na John Walter, JamhuriMedia, Babati Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Machi 8,2026 Halmashauri ya Wilaya ya Babati imefanya shughuli za kijamii kwa kupanda miti na kugawa misaada mbalimbali katika Kituo cha Kulelea Wazee kilichopo Sarame,…

Serikali Zanzibar yaimarisha ukuaji sekta ya viwanda kwa kuvutia uwekezaji

Na Maelezo, Zanzibar Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeweka mkazo maalum katika kuimarisha ukuaji wa Sekta ya Viwanda kwa kuvutia uwekezaji katika maeneo tengefu ya viwanda kwa kuweka miundombinu wezeshi ya maedeleo ya viwanda Unguja na Pemba. Akizungumza na waandishi…