Category: MCHANGANYIKO
Madini ya Bati fursa zipo nyingi njooni – Mkopi
Hutumika kwenye mifumo ya kielektroniki ya simu, ndege, vyuma vya reli · Yaleta ukombozi kwa wananchi Kyerwa Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kagera MADINI ya Bati (Tin) yameendelea kuwa na mchango kwenye maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini mkoani Kagera…
Kamati ya Bunge yakagua mradi wa nyumba NSSF Mtoni Kijichi, Kikwete asifu ustahimilivu NSSF
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii wametembelea na kukagua Mradi wa Nyumba za Mtoni Kijichi awamu ya Tatu unaomilikiwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) leo Machi 16, 2025 Jijini Dar es…
Israel yafanya mashambulizi Gaza ikidai kuwalenga Hamas
Jeshi la Israel limesema limefanya hivi leo mashambulizi ya anga katikati na kusini mwa Gaza na kuwalenga wanamgambo waliokuwa wakijaribu kutega mabomu karibu na vikosi vyake vilivyoko katika ukanda huo. Taarifa hiyo imetolewa baada ya mamlaka za Palestina kusema kuwa…
JAB kusimamia pia Mfuko wa Mafunzo kwa Waandishi
Na Mwandishi Wetu Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari, Wakili Patrick Kipangula amesema mbali na kutekeleza majukumu ya msingi yaliyoainishwa kisheria, bodi hiyo itakuwa na wajibu wa kusimamia Mfumo wa Mafunzo kwa Waandishi wa Habari…