JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Kampeni ya Kisheria ya Mama Samia yanufaisha maelfu magerezani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Jeshi la Magereza limesema kampeni ya kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, imeleta manufaa makubwa kwa wafungwa na mahabusu zaidi ya 12,000 katika magereza mbalimbali nchini. Kati ya waliofikiwa na kampeni hiyo, mahabusu…

Wananchi watakiwa kuchangamkia biashara ya kaboni

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imetoa wito kwa sekta binafsi na wananchi kwa ujumla kuendelea kuchangamkia fursa za uwekezaji katika biashara ya kaboni ili kuinua uchumi na kuhifadhi mazingira kwa kupanda miti na kuitunza. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu…

TAKUKURU yanasa mali za wakulima za bil.1.4/-

Na Benny Kingson, JamhuriMedia, Tabora TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Tabora imekamata mali za wakulima wa zao la tumbaku zenye thamani ya sh bil 1.4 zilizokuwa zimeibiwa na wafanyabiashara katika vyama vya msingi vya wakulima. Hayo…

Lala salama mwanasiasa mkongwe, hakika nitakukumbuka, Mzee Mustafa Songambele

Na Mohamed Said, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wiki iliyopita imekuwa ya ajabu sana kwangu. Ubongo wangu umekuwa ukishughulishwa na kumbukumbu za watu na mambo mengi ya nyuma nikiwa mtoto mdogo, sijafikia hata umri wa miaka 15 na sijui kwa nini?…

Upatikanaji pembejeo wawanyanyua wakulima Hanang

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Manyara Wakulima wa zao la mahindi wilayani Hanang mkoa wa Manyara, wameipongeza Serikali kwa kufanikisha upatikanaji wa pembejeo kwa wakati, hatua iliyochangia ongezeko kubwa la mavuno msimu huu. Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wakulima hao walisema kuwa utoaji…