Category: MCHANGANYIKO
Mageuzi ya elimu yashika kasi chini ya Serikali ya Awamu ya Sita
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh Ameir,akizungumza wakati akifunga Mkutano wa 37 wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara hiyo leo Aprili 30,2026 jijini Dodoma. …… Serikali imewataka watumishi wa sekta ya elimu nchini kuimarisha mshikamano, uwajibikaji na…
Wahandisi watatu Bodi la ziwa Tanganyika Kigoma kizimbani kwa uhujumu uchumi
Kesi hiyo imefunguliwa katika Mahakama ya Wilaya Kigoma mbele ya Mhe. Anna Kuhungu Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Kigoma. Awali wakisoma Mashtaka ya kesi hiyo Na. ECC.9258/2026 dhidi ya washitakiwa Kulwa Ryoba James, Gaudens John Ndolo na…
Rais Samia akiteta na jambo la Waziri Mkuu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi 2026), ambayo Kitaifa yamefanyika Mkoani Njombe, tarehe 01 Mei, 2026.
Kabigi awaasa watumishi Tume ya Madini kung’ara kwa weledi
▪️ Watakiwa kuongeza bidii na kudumisha mshikamano 📍 Dodoma Watumishi wa Tume ya Madini wameaswa kuzingatia weledi, uwajibikaji na mshikamano katika utekelezaji wa majukumu yao ili kuendeleza mafanikio ya Tume pamoja na kuongeza mchango wa sekta ya madini katika ukuaji…
Tanzania, Japan kufungua milango mipya ya uwekezaji sekta ya nishati
Ushirikiano kati ya Tanzania na Japan katika sekta ya nishati unaingia hatua mpya, huku juhudi zikielekezwa zaidi katika kuvutia uwekezaji wa sekta binafsi na teknolojia za kisasa za uzalishaji umeme. Hatua hiyo imebainishwa jijini Dar es Salaam leo tarehe 30…
Vijana kujengewa uwezo mabadiliko ya tabianchi
Na Mwandishi Wetu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Richard Muyungi amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Mashirikiano wa Shirikisho la Umoja wa Vijana wa Afrika (Pan African Youth Union) Bi. Kaoutar Moudar. Mazungunzo hayo yamefanyika leo…





