Category: MCHANGANYIKO
Samia: Kuanzia Januari mtaona mabadiliko makubwa mwendokasi
Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan amewahakikishia wakazi wa Dar es Salaam kuwa kuanzia Januari mwaka ujao wataanza kuona mageuzi makubwa ya uendeshaji wa mabasi ya mwendokasi (BRT). Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati wa…
Ulega afunguka miradi Jiji la D’Salaam
Mgombea ubunge Jimbo la Mkuranga, Abdallah Ulega amesema Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Sh bilioni 97 kwa ajili ya ujenzi wa daraja la juuu katika eneo la Jangwani, Dar es Salaaam. Ulega ametoa kauli hiyo alipopewa nafasi ya kusalimia maelfu…
Dk Mushi: Kufeli sio mwisho wa safari kielimu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZAZI na walezi nchini wametakiwa kutowanyima watoto wao fursa ya kuendelea na elimu nje ya mfumo rasmi pale wanapofeli au kupata ufaulu mdogo katika mitihani yao, kwani huo si mwisho wa safari ya…
Wanafunzi wa darasa la nne 1,582,140 kufanya mitihani Oktoba 22 hadi 23
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMediaDar es Salaam Jumla ya shule 20,517 Wanafunzi wa Darasa la nne Waliosajiliwa Mwaka huu 1,582,140 wanatarajia kufanya Mtihani wa Upimaji wa kitaifa Oktoba 22 hadi 23,2025 ambapo kati ya hao wavulana 764,290 Sawa na asilimia 48.31 huku…
Tarimba: Samia ametufanyia makubwa ndani ya Kinondoni
Mgombea ubunge Jimbo la Kinondoni,Dar es Salaam, Tarimba Abbas Tarimba amesema ndani ya miaka minne jimbo hilo limepata maendeleo makubwa kutokana na kazi nzuri iliyofanywa na Rais Samia Suluhu. Tarimba ametoa kauli hiyo alipopewa nafasi ya kusalimia maelfu ya wananchi…
Kambi ya maalum ya matibabu ya moyo yawafanyia upasuaji watoto tisa Dar
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Watoto tisa wenye matatizo ya moyo ya kuzaliwa nayo wamefanyiwa upasuaji wa moyo kwa mafanikio kwenye kambi maalumu ya matibabu ya siku mbili iliyomalizika hivi karibuni katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)…





