JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Tanzania yataka mbinu nafasi ya maendeleo nchi zinazoendelea

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa wito wa kuwa na mbinu za kimataifa zilizo na uwiano, zinazozingatia usawa na kulinda nafasi ya maendeleo ya nchi zinazoendelea. Imesema iko tayari kushirikiana na wadau mbalimbali katika kujenga njia zitakazoleta manufaa kwa watu…

Serikali yasisitiza ushiriki wa vijana katika ukuaji wa uchumi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imesisitiza kuwa, Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 inatoa kipaumbele cha pekee kwa ushiriki wa vijana katika maendeleo, kwa lengo la kuinua vipaji, uwezo, na ari yao katika kufanikisha ukuaji wa uchumi jumuishi. Kauli…

Serikali kuendelea kuiwezesha OSHA ili kuongeza ufanisi wa utendajikazi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe Serikali imeahidi kuendelea kuiwezesha Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi(Osha), vitendea kazi ili kuleta ufanisi katika shughuli zake. Ahadi imetolewa na Waziri wa Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu, wakati akifunga maadhimisho ya…

Makonda : Maadili nguzo kuu ya maendeleo endelevu ya taifa, azindua mkakati wa Taifa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda amezindua Mkakati wa Taifa wa Kukabiliana na Mmomonyoko wa Maadili wa mwaka 2026/27 hadi 2036/37, huku akisisitiza maadili ni nguzo kuu ya maendeleo endelevu ya…

Wajumbe bodi ya wakurugenzi REA waipongeza ETDCO

Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wameridhishwa na utekelezaji wa mradi wa kuunganisha umeme katika vitongoji 105 mkoani Mbeya wenye thamani ya shilingi bilioni 10.9 unaotekelezwa na Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya…

Rais Samia mgeni rasmi Mei Mosi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe RAIS wa Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe za maadhimisho ya Mei Mosi mwaka huu ambazo kitaifa zinafanyika mkoani Njombe. Hayo yamesemwa leo Aprili 29,2026, na Mkuu wa Mkoa huo Anthony Mtaka…