Category: MCHANGANYIKO
Ulinzi waimarishwa kilele cha mbio za mwenge kitaifa Mbeya
Oktoba 7, 2025 Mwenge wa Uhuru uliingia katika Mkoa wa Mbeya ukitokea katika Mkoa wa Songwe ambapo mapokezi yalifanyika katika mazingira ya usalama wa hali ya juu kutokana na ushirikiano tulioupata kutoka kwa wananchi wa Jiji letu la Mbeya. Hadi…
Dhamira ya Dk Samia ni kuiua utu wa kila Mtanzania- Dk Migiro
𝙒𝙖𝙣𝙖𝙣𝙘𝙝𝙞 𝙬𝙖 𝙉𝙮𝙖𝙬𝙞𝙡𝙞𝙢𝙞𝙡𝙬𝙖 𝙟𝙞𝙢𝙗𝙤𝙣𝙞 𝙂𝙚𝙞𝙩𝙖 𝙬𝙖𝙢𝙚𝙢𝙥𝙤𝙠𝙚𝙖 𝙠𝙬𝙖 𝙨𝙝𝙖𝙣𝙜𝙬𝙚. 𝘼𝙩𝙤𝙖 𝙨𝙖𝙡𝙖𝙢𝙪 𝙯𝙖 𝙪𝙥𝙚𝙣𝙙𝙤 𝙣𝙖 𝙪𝙟𝙞𝙤 𝙬𝙖 𝘿𝙠𝙩. 𝙎𝙖𝙢𝙞𝙖. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, amewasili na kupokelewa na Viongozi mbalimbali wa Chama na Jumuiya, Viongozi mbalimbali…
Kwenye suala la kutafuta hatucheki na yeyote, ilani, sera na ahadi zinajitosheleza
Na ili kuthibitisha kuwa Ilani yetu (2025/30), sera zetu na ahadi zetu zimegusa matakwa na matarajio ya watanzania, ndiyo maana unaona nyomi kama hizi zimekuwa kila pahala ambapo Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia…
Jesca Magufuli : Kila Mtanzania ameshuhudia mafanikio yaliyotekelezwa na Dk Samia
Mgombea Ubunge wa Viti Maalum kupitia Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Jesca Magufuli, amesema kuwa kila Mtanzania anashuhudia mafanikio makubwa yaliyotekelezwa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ameyasema…
Lipumba : Wananchi mna haki ya kudai mabadiliko
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa, Profesa Ibrahim Lipumba, amesema wananchi wana kila sababu ya kudai haki na kuleta mabadiliko kupitia chama hicho ambacho kimekuwa mstari wa mbele kutetea usawa kwa wote. Akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kata…
Dk Samia aendelea na kampeni Geita
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, anaendelea na kampeni zake leo mkoani Geita kwa kufanya mikutano mikubwa ya hadhara katika maeneo ya Mbogwe, Bukombe na Runzewe. Katika mikutano hiyo,…





