JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Klabu za madaktari waadhimisha miaka 26 ya kifo cha Nyerere kwa kufanya usafi Songea

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 26 ya kifo cha baba wa Taifa Hayati Mwalimu Baba wa Taifa Julius Nyerere, klabu ya madaktari kwa kushirikiana na klabu mbalimbali za michezo, wasanii wa ngoma za asili…

Biteko: Samia ametujengea jengo la utawala baada ya miaka 29

Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media- Bukombe Mgombea ubunge wa Jimbo la Bukombe mkoani Geita na Naibu Waziri Mkuu, Doto Biteko amesema mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan amefanikisha ujenzi wa ofisi ya mkuu wa wilaya…

Mgombea urais CUF aahidi kuondoa utitiri wa kodi, aomba wananchi wampe kura

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Mgombea Urais kupitia chama cha wananchi (CUF) Gombo Samandito amesema endapo wananchi wakimpa ridhaa ya kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ataondoa utitiri wa kodi nchini ambapo ataweka mfumo mmoja wa ukusanyaji kodi…

Serikali kupitia TANROADS yatekeleza ujenzi wa miradi 13 ya dharura Lindi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Kwa sasa Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) inaendelea na utekelezaji wa ujenzi wa miradi 13 ya dharura katika mkoa wa Lindi ambayo itatumia jumla ya shilingi Bilioni 119 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi…

Madini Chunya kupata nguvu mpya, DC aeleza mikakati kabambe

Kujengwa Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Megawati 90, kuhudumia Chunya, Songwe Atoa Wito REA kuweka kipaumbele maeneo yenye shughuli za Madini Agusia ujio wa Kampuni ya Kuchimba Madini Chunya ya Anglo De Beers Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Chunya Mkuu wa…