Category: MCHANGANYIKO
Serikaki kutumia trilioni 1.18 ujenzi wa miundombinu ya barabara za wilaya
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Katika mwaka wa fedha 2025/26, Ofisi ya Rais – TAMISEMI kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini TARURA imepanga kutumia shilingi trilioni 1.18 kwa ajili ya ujenzi, matengenezo, ukarabati wa miundombinu ya barabara na usafiri…
REA kusambaza mitungi ya gesi zaidi ya 22,000 Pwani
📌Kila wilaya kunufaika mitungi ya gesi 3,255 Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeitambulisha kampuni ya Manjis Gas ambayo imepewa jukumu la kusambaza mitungi ya gesi 22,785 itakayouzwa kwa bei ya ruzuku ya asilimia 50 katika Mkoa wa Pwani. Hayo yamebainishwa…
CAG : Mashirika kadhaa ya umma yamesaini mikataba bila kufuata ushauri wa kisheria
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amebaini kuwa mashirika kadhaa ya umma yamesaini mikataba yenye thamani kubwa bila kufuata ushauri wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali wala maafisa wa sheria wa ndani. Mikataba hiyo, yenye jumla ya thamani…
Wasira akutana na Protase Kardinali Rugambwa
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amekutana na kufanya mazungumzo na Muadhama Kadinali Protase Rugambwa katika Jimbo Kuu Katoliki la Tabora. Wasira amekutana na Protase Kardinali Rugambwa. leo Aprili 16, 2025 katika Jimbo Kuu Katoliki…
Haya ndio mashirika 10 yaliyopata hasara
Ripoti Kuu ya Mwaka ya Ukaguzi ya Mashirika ya Umma kwa mwaka wa fedha 2023/2024 CAG imebainisha kuwa mashirika 19 ya umma ya kibiashara yameendelea kupata hasara, huku mashirika 12 yakipata hasara kwa miaka mitatu mfululizo. Kwa mujibu wa ripoti…
Waziri Kombo afanya mazungumzo na bandari ya kimataifa ya Antwerp
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mshariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ametembelea na kufanya mazungumzo na timu ya uongozi wa Bandari ya Kimataifa ya Antwerp iliyopo nchini Ubelgiji ukiongozwa na Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Bandari hiyo…