JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Geita msiniangushe, msiiangushe CCM – Dk Biteko

📌Awahimiza Wananchi Kupiga Kura Kesho, Kuchagua CCM 📌 Awapongeza kwa Kampeni za Zakistaarabu 📌 Ataka Siasa Ziwe Daraja la Kuunganisha na Kushindanisha Mawazo Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Geita Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)…

Wananchi Pwani wapigieni kura wagombe wa CCM ni chaguo sahihi – Abdulla

Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amehitimisha kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa wagombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika mkoa wa Pwani na kuwaasa wananchi kuwapigia kura wagombea wanaotokea…

Balozi Nchimbi awasili kufunga kampeni za Serikali za Mitaa Dar es Salaam

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, leo tarehe 26 Novemba 2024, akiwasili katika Viwanja vya Kwamnyani, Mbagala wilayani Temeke, Mkoa wa Dar es Salaam, kwa ajili ya kufunga rasmi kampeni za Serikali za Mitaa…

Waliofariki kwa kuporomokewa na ghorofa Kariakoo wafikia 29

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam IDADI ya watu waliopoteza maisha baada ya kufukiwa na jengo lililoporomoka Kariakoo jijini Dar es Salaam imefikia 29. Jengo hilo liliporomoka mapema Jumamosi ya Novemba 16, 2024 na kusababisha vifo, majeruhi na uharibifu…

ACT ni suluhisho la changamoto Kizenga – Abdul Nondo

Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo Taifa, Abdul Nondo, amewataka wananchi wa Kijiji cha Kizenga, Kata ya Bitale, Jimbo la Kigoma Kaskazini, kuchagua wagombea wa ACT Wazalendo katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024,…