JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Uboreshaji reli ya TAZARA, historia ya awamu ya sita na mpango mkakati

Imeandaliwa na Mhandisi Abbas Maunda UTANGULIZI Reli ya Tanzania–Zambia (TAZARA) ni moja ya miradi mikubwa ya kimkakati barani Afrika, iliyojengwa kwa lengo la kuunganisha Bandari ya Dar es Salaam na Zambia, nchi isiyo na bandari. Reli hii ina urefu wa…

TMA yatoa utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo.

Na Heri Shaaban Kwa Mujibu wa taarifa ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania, imeeleza kuwa vipindi vifupi vya mvua kubwa inatazamiwa katika mikoa ya Arusha,Kilimanjaro,Manyara ,Mara,Simiyu , Mwanza ,Mtwara, Lindi na mikoa ya Kusini mwa Pwani ikijumuisha Visiwa vya…

Msigwa : Mkataba wa TAZARA na China utakuwa na manufaa makubwa kwa Tanzania

Katibu Mkuu na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa amewahakikishia Watanzania kuwa mkataba ambao Tanzania na Zambia zimeingia na China wa uboreshaji wa reli ya TAZARA utakuwa na manufaa makubwa kwa Tanzania kiuchumi na kijamii. Msigwa aliyekuwa akitoa ufafanuzi…

Dc Mpogolo atoa agizo kukamatwa waliofanya mauaji Buyuni

Na Heri Shaaban, JamhuriMedia, Dar es Salaam MKUU wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo ,ametoa agizo kwa Jeshi la Polisi kupitia Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, ACP Yustino Mgonja kutumia utaalamu na timu yake kuwakamata mara moja kundi…

TMA : Mvua kubwa yaathiri miundombinu ya SGR, kuendelea kunyesha kwa mikoa 20

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inapenda kutoa taarifa ya mwenendo wa Mvua Kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali hapa nchini. Mnamo tarehe 26 hadi 27 Desemba, 2025 Mamlaka iliendelea kutoa Tahadhari ya vipindi vya Mvua Kubwa katika maeneo…