Category: MCHANGANYIKO
Operesheni ya kuwadhibiti fisi Simiyu yaonesha mafanikio makubwa
📍 Zaidi ya Fisi 16 wavunwa. Na Mwandishi Wetu, Jamuhuri Media , Simiyu Oparesheni maalumu ya kuwadhibiti wanyamapori wakali na waharibifu aina ya fisi waliokuwa wanaleta taharuki na madhara Kwa jamii inayoendelea Mkoani Simiyu imeonesha mafanikio makubwa baada ya fisi…
Ujangili: Asiyoambiwa Rais Samia
Na Manyerere Jackton, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mambo makubwa yanayohusu hatima ya taifa letu hayana budi yasemwe hata kama kufanya hivyo kutaleta gharama kwa wanaoyasema. Huu ni wajibu wa kikatiba, kwa kuwa wananchi wa Tanzania, kama ilivyoainishwa katika Katiba ya…
Zebaki yawatesa, wanawake, watoto
Na Anthony Mayunga, JamhuriMedia, Mara Baadhi ya wanawake na watoto wanaojihusisha na uchimbaji na uchenjuaji wa dhahabu kwa kutumia zebaki hapa nchini ni waathirika wakubwa wa kemikali hiyo. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), zebaki inapoingia mwilini inaharibu…
Rais Samia utakumbukwa kwa Bwawa la Kidunda
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, aliyekuwa Kidunda Wiki moja iliyopita, nimepata fursa ya kutembelea ujenzi wa Bwawa la Kidunda, lililopo mkoani Morogoro. Ujenzi wa Bawawa hili umeanza rasmi mwaka 2023 na unatarajia kukamilika mwaka 2026 kwa gharama ya zaidi ya Sh…
Profesa Mkenda azindua bodi ya TAEC, aitaka kusimamia ufadhili wa Samia Scholarship Extended Program
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amezindua bodi mpya ya Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) ambapo ameitaka kusimamia kwa umakini ufadhili wa masomo ya elimu ya juu ya…
Uingereza yafurahiswa maboresho na Bandari ya Dar, yaipongeza Serikali
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali ya Uingereza imesema imefurahishwa na juhudi zinazofanywa na Serikali ya Tanzania katika uboreshaji wa miundombinu na utoaji wa huduma katika bandari ya Dar es salaam. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada…