JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Dk Diallo: Nunueni pembejeo mapema baada ya kuuza mazao

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Chato Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Dkt. Anthony Diallo amewataka wakulima wa pamba kununua mbolea pindi wanapouza mazao yao ili kuwawezesha kuzitumia wakati msimu wa kilimo unapowadia. Amesema ni vyema…

Waziri Lukuvi akutana na wadau sekta binafsi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mheshimiwa William Lukuvi amekutana na kufanya mazungumzo na wadau wa sekta binafsi katika kikao kilichoratibiwa na Baraza la Taifa…

PURA endeleeni kuwavutia wawekezaji shughuli za utafutaji mafuta na gesi – Kapinga

📌Ataka Duru ya Tano ya kunadi vitalu vya utafutaji wa mafuta na gesi asilia kuwa na matokeo chanya 📌Aipongeza PURA kuwashirikisha Watumishi kujadili mipango ya Bajeti ya Taasisi MOROGORO Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga ameielekeza Mamlaka ya Udhibiti…

DCEA yateketeza ekari 336 za mashamba ya bangi Kondoa, 114 wakamatwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, imeteketeza ekari 336 za mashamba ya bangi yaliyokuwa ndani ya hifadhi ya Ikome wilaya ya Kondoa mkoani…

Tanzania, Misri kushirikiana kukuza sekta ya utalii

Na Happiness Shayo-, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, zimekutana kujadiliana namna bora ya kushirikiana katika kukuza na kuendeleza utalii baina ya nchi hizo mbili. Hayo yamejiri leo Februari…

Teknolojia mawimbi ya sauti kutumika upasuaji ubongo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inatarajia kuanza kufanya upasuaji wa ubongo kwa kutumia mawimbi ya sauti. Hatua hiyo inaifanya hospitali hiyo kuwa ya kwanza kwa nchi Kusini mwa Jangwa…